Mwandishi: YOUNG NDABA DE LILIAN
Whatsapp:+255680681577
Website: https://www.mastorihub.blogspot.com
Asubuhi sikuinayifuta Ally aliweza kuamka na kwenda chuoni njian alipishana na wadada wawili(Mwajuma&Sakina)
Ally: Mambo zenu
Wote:Poa tu
Ally:Samahani njia hii inaelekea UDSM
Sakina:Ndy bro
Mwajuma:Nyoosha moja kwa moja then utakutana na kibao cha dispensary kata kushoto utaona chuo
Ally: Asanteh sana dada zangu
Wote:Usijar kaka unakaribishwa(Aliakaendelea na safari yake
Mwajuma:Mmh huyu kaka ni handsome hatari
Sakina:Eeh pambe nilishangaa wewe huyo ushindwe sema jambo
Mwajuma:Kwan wewe ni kipofu hauoni au...
Sakina:Ila shoga yangu huyu mkaka ni hot sana ukidate nae
Mwajuma:Nyoooo ulikuwa unavunga nini sasa
Sakina: Tuachane na mada hizo bhana twende zetu.
******************************************
Chuoni
Lecture: hello guys leo tutaanza rasmi kusoma INFORMATION TECHNOLOGY au kwa ufupi IT. Aah ila mimi ntafanya intro kidogo then mtaenda library kwa more study (gafla)
Ally: Sorry sir may i in.....
Lecture:off course you may...
Ally: Thanks Sir
Lecture:Aah ww ndo yule mgeni niliyoambiwa na Principal unaitwa nani aaah.... Nani vile...
Ally: Naitwa Ally Karim Suleiman
Lecture: Okay karbu ka keti kijana
Ally:Thanks sir
Mwajuma:Eeh shoga mbona dodo kwenye mpera sasa
Sakina(Alikuwa bze na laptop) Umeanza misemo yako ya ajabu shoga yangu
Mwajuma:Ubishi tu inuka angalia mbele kwa lecture sasa.
Sakina:😮😮 wow si yule handsome boy wa mida ile
Mwajuma:Ndy kipenzi
Sakina: Eeh kupatwa kumbe ni class mate
Mwajuma:(Akifikilia ntafanya juu chini awe wangu) sakina
Sakina(Akiwaza lazima nimtege mpaka awe wangu) nini bwana aah wewe endelea na mambo yako kwani chuo umefata wanaume au
Mwajuma:Tena!! Yaani ndo tumefikia huko mmh shoga mimi hata sijasema nataka wanaume mimi naomba unitumie zile notes Whatsapp please 🙏 🙏 🙏
Sakina:sawa bhana ntatuma ila samahan sawa
[Mda huo Ally aliweza kwenda kuketi ili kuendeleza pindi lao na alikwenda mpka walipo kuwa wamekaa sakina na Mwajuma maana kati kati yao ndo palikuwa na nafasi ya kuketi ]
Ally:Samahani, naweza keti hapo
Sakina:Bila samahani unaweza tu wewe kuwa huru tu
Ally: Asanteh sana dada
Mwajuma:Karbu kaka
Ally: Asanteh dada
Pindi liliendelea na muda wa chakula cha mchana ulifika kila mmoja alikwenda bwaroni kupata chakula,lakini macho ya wasichana wengi yalikuwa kwa Ally coz alikuwa kijana uliepata juu kidogo mweupe wastani afu kama shombe shombe wa kiarabu pia kimwili cha jimu,ila kwa upande wa Ally ilakuwa ni kama adhabu kubwa sababu hakuzoea kuangaliwa na wasichana kiasi kile so alipokuwa akipita kwenye kundi la Wanawake anainama kwa aibu, alichua chakula chake na kwenda kukaa meza ya peke yake ila kila akila na kuinua macho anaona mademu wanamwangalia na wengine wanamkonyeza kabisa. Pindi amekaa pale alikuja msela mmoja na kukaa na Ally
Ally:karibu bro..
*Asanteh*
Ally: sawa
*Mimi naitwa salehe ila watu wanapenda niita j.montana sijuw wewe unaitwa nani bro
Ally:Aah mimi naitwa Ally
J.montana: ooh ila wewe ni hela mpya au
Ally:hela mpya😳🤔🤔🤔 ndo nini
j.montana: aah means mwanafunzi mpya
Ally:ndiyo bro
j.montana: okay karibu ila tunaweza kuwa marafiki
Ally: sawa bro
J.montana:sawa mida mida mimi ngoja niende class ila mimi nipo second year IT
J.montana aliondoka na Ally alimaliza kula na kuludi darasani kwaajir ya pindi muda wa kutoka ulipofika aliweza kutoka nakwenda Mageton kwake alipokuwa amepanga,njiani alipitia chips na Pepsi cola 🥤 yake.Yalipo timia majira ya saa 5 usiku alishtuka kitandani kutokana na joto la Dar-es-salaam kuwa kari na alichukua ndoo yake ya maji na kuelekea bafuni kutokana na wenge hakubisha hodi mlango alipitiliza mpaka ndani kwa bahati mbaya ndani alikuta..............
***************************************
Sakina wa wenzake walikuwa wamjadili alikwenye group lao la mademu wa first year IT kila mmoja akitowa hisia zake kumuhusu Ally mpaka ikafikia stage wakaanza kuchambana ndani ya group kisa kina yule ambaye hata maisikini ya Mungu hajuwi kama anapendwa kiasi hicho na mademu pale. Nyota njema huonekana asubuhi kweri...
ITAENDELEA USIKOSE MWENDELEZO
Stori zaidi kwenye website yangu link👇👇
https://mastorihub.blogspot.com/

Maoni