MAISHA YA CHUO Ep 01

 


Jina:MAISHA YA CHUO 1

Mwandishi: YOUNG NDABA DE LILIAN

Mchapishaji:Mastori hub

Website: https://mastorihub.blogspot.com/

Whatsapp+255680681577

"aah samani wewe ndo mama Ally"Suti hii ilikuwa ni ya daktari John alikuwa akimuuliza mama mmoja ALIYE kuwa kaketi kwenye benchi nje ya chumban Cha daktari huyo

 "ndio Mimi hapa"

"Sawa nifuate NDANI" Mama Ally aliinuka na kumfuata dokta yule aliingia chombani kwake

"Aah mama Ally"

*Abee dokta*

*Pole sana kwa matatizo yaliyo kukumba na kumsibu KIJANA wako*

*Asanteh sana doktari..*

*Aah nimechukua vipimo vya KIJANA wako na vinaonesha mwanao ana kansa ya mapafu na Ukimwi pia*

*Tobaaaa mweeee!! Tena*

*Yani mwanao vipimo vinamwonesha kuwa anaukimwi na kansa ya mapafu*

*Mweeee sasa dokta ndo tunafanyaje hapo ili kumnusuru KIJANA wangu *

*Aaah itabidi nikuandikie dawa ili awe anatumika akiwa anasubiri upasuaj*

*Sawa dokta nimekuelewa pia Asante sana*

*Aah usijar mama kalbu tena ila mwanao awe anatumia dawa kwa wakati sawa mna weza kwenda*

Mama Ally na KIJANA wake waliweza kuinuka na kuanza safari ya kulejea nyumbani kwao,ambapo walikuwa wanaishi maeneo ya mjimwema.baada ya safari ndefu waliweza kufika nyumbani na mama Ally aliweza andaa chakula na wote wakapata chakula na baada ya hapo mama ake aliweza kumuoji Ally kivipi amepata magonjwa hayo Ally alianza kuangusha machozi kabla ya kusimulia mama yake alimfuta machozi na kumwambia asiogope kama ameshindwa aende akalale ila alimwambia kuwa kaka yake yupo njiani anakuja,kwaiyo yeye anaenda airport kumpokea,Kisha mama Ally alianza safar ya kwenda airport kumpokea juma AMBAYE ni kaka yake Ally,

Juma:wowo mamy am wanna miss you

Mam;umekuwa sana kijana wangu vipi za huko London 

Juma:nzuri tu mama sijui za huku 

Mama:za huku nzuri tu ila dogo lako ndo linaumwa tu

Juma:alinambia ndo maana nimekuja muuguza mama

Mama Ally: sawa panda gari twende.

Baada ya mda waifanikiwa kufika nyumbani kwao,na usiku ulipo fika juma na Ally walikuwa chumbani wanapiga mastori maana ndugu hao walikuwa wamekumbukana sana

Juma:Veep dogo magonjwa hayo umetowa wapi tena

Ally;daah kaka ni story ndefu sana sijuw nianze wap aty

Juma:Anza popote tu

Ally:maana hata Mimi sijui nimeyatowa wapi duuh

Juma:mmh dogo acha utani bhana ujuwi tena kiaje

Ally:ndo ivyo kk mm sijui hata..

Juma:mmh kisa nini sasa

Ally:life la cho kaka daah...(Akaanza kulia😭😭😭😭😭😭)

Juma:nyamaza kwanza sasa dogo usilie sawa

Ally:sawa bro, bro unakumbuka nilivyo enda chuo

Juma:ndio nakumbuka vizuri sababu Mimi ndo nilikupeleka.

Ally:basi naisi ndo ugonjwa ulianzia kule...

Juma:kiaje Mbona simuelewi

Ally:ngoja nikwambie ila usije mwambie mama just promise me

Juma:Usijar Young bro

Ally:Basi ilikuwa ivi....(Alianza elezea maisha yake ya chuo baada ya usajiri wa chuo kukamilika)

****************************************************************

Ally: kaka nafuraha sana Leo nimeweza fika chuo maana nilikuwa natamani

Juma:Aah mdogo wangu Mbona kawaida tu sema uache utundu na ulimbukeni maana nje ya kuwa chuo sasa upo jiji a Dar es salaam, jiji hili Lina Mambo mengi sana dogo wewe kuwa makini sawa

Ally:aah usijar kaka kwairo hata!! kama unavyo nijuwa mimi mdogo wako Sina shida yoyote sawa we India hofu kaka

Juma;Sawa ila kumbuka umesoma shule za wavulana watupu toka shule ya msingi mpaka advance huku sasa ni mchanganyiko ko kuwa makini sana sawa janja langu

Ally":sawa kaka(ghafla simu ya juma ikaita na akaipokea)

Juma:aah Dori Veep

Dori:saf tu kipenzi upo wapi ndege inakaribia kuanza safari baada ya nusu saa

Juma:aah nipo UDSM nimemleta Ally amekuja kuanza masomo yake hapa

Dori:sawa mpe salamu,afu chukua huba uwahi sasa

Juma:sawa(akakata simu)

Ally:poa safari njema maana nishamsikia shemu anawasha moto

Juma: pouwa dogo nilifika London ntakuchek.

Kisha kila mtu alishika zake na Ally akaenda mageton alipokuwa amepanga si mbali na chuo,baada ya kufika aliweza kujipumzisha huku akifikilia maisha Mapya ya ghetto life na ya chuo.

JE ALLY ALIPATAJE UKIMWI NA KANSA NA MAISHA YAKE YALIKUWAJE BAADA YA KUJIUNGA CHUO.USIKOSE MWENDELEZO WA LOVE STORY HII YA MOTOπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ KWA STORY ZAID TEMBELEA WEBSITE YANGU LINK πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

                                          https://mastorihub.blogspot.com/

ITAENDELEA........

Maoni